Kutoka kulia Hamisi Dakora, Abdul Kiba na Mchomvu clouds meadia
Mwanamuziki wa bendi ya Mapacha Watatu, Khalid Chokora akizungumza
wakati wa semina ya wanamuziki walioingia kwenye kinyang'anyiro cha ruzo
za muziki Tanzania, maarufu Kilimanjaro Music Award au tuzo za Kili
inayoendelea hivi sasa katika hoteli ya Double Tree, Masaki, Dar es
Salaam. Kulia ni mwimbaji wa Mapacha, Catherine Cind
Mzee Yussuf wa Jahazi Modern Taarab kushoto
Mwanamuziki wa bendi ya Mapacha Watatu, Khalid Chokora akizungumza
wakati wa semina ya wanamuziki walioingia kwenye kinyang'anyiro cha ruzo
za muziki Tanzania, maarufu Kilimanjaro Music Award au tuzo za Kili
inayoendelea hivi sasa katika hoteli ya Double Tree, Masaki, Dar es
Salaam. Kulia ni mwimbaji wa Mapacha, Catherine Cindy
No comments:
Post a Comment