Ktk maisha ni dhahili tunakumbana na changamoto mbalimbali ila mambo muhimu tunayoweza kufanyili kukabiriana na hizo changamoto ktk maisha yetu ya kila siku
Mambo hayo ni pamoja na haya yafuatayo.
- KUJITAMBUA. Ktk maisha suala la kujitambua huwa linamhusu mtu mwenyewe .lakini hapa tunataka huyu kijana ambae bado hajajitambua kuwa nafasi ya kujitambua ktk mashai ni muhimu hii inasaidia kwa kiasi kikubwa kufanya mtu kubadilika na kufanya mambo ambayo yatamuingizia kipato ktk jamii na hata familia yake jkwa ujumla.
- KUJIHESHIMU. Ktk maisha yoyote mtu hawezi kuishi bila kuwa na jamii inayomzunguka na hii ina muwezesha mtu kufanya uwamuzi wa yeye kuwa na heshima na kuishi na watu vizuri hasa wale ambao ankuwanao kwenye jamii inoyomzunguka.Heshimani chanzo kizuri cha maendeleo ktk maisha jiheshimu.
- KUPENDA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WALIOFANIKIWA/Hii inasaidia sana kijana kuwa na motisha wa kuhakikisha kuwa anakuwa na maendeleo ktk maisha.
- ktk maisha ya masomo na hata nje ya masomo kunakuwa na marafiki wenye malengo hasi ambao bado hawajajitambua kuwa wao ni akina nani nahii inamuwezesha kijana huyu kufanya vile anavyotaka na mwisho wa siku anajikuta keshaangaka.Kuwa busy na shuhuli zako kama ni masomo soma kwa malengao na utaanikiwa na huku ukimta nguliza MUNGU.
- ktk kuihakikishia jamii inakuwa na vijana walioelimika ni lazima hawa vijana wapende maendeleo na mabadiliko ktk jamii wanayoishi.
Kwa kuzingati hayo huku ukimuomba Mungu utafanikiwa ktk maisha pi watu watwajifunza kutoka kwako kwacbb umefanikiwa. kujiepusha na makundi ya maovu.
No comments:
Post a Comment